Salaam,
Ili mambo yaende vema, ningependekeza mambo yafuatayo kwa UKAWA;
1. Kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa TZ, mgombea urais atoke CHADEMA na mwenza wake atoke CUF.
2. Kwa upande wa Zanzibari, mgombea urais atoke CUF mwenza wake atoke CHADEMA.
3. Katika kampeni, waende as a team ...