Recent content by Rey6

  1. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Acha mihemko uchwara wewe...yeye aliposema hawatakubali ushindi wao kuhojiwa alikua na maana gani? Yeye mbona Haiti tume kumkemea ngonjera zake za kipuuzi ila kaona upinzani tu?? Tulieni mnyolewe.....!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Weweee tulia dawa ikuingie, wacha kubweka!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Huenda anaumwa ugonjwa wa kusahau...hata boss wao alisema katika wooote 38 waliotaka uraisi kiafya aliona bora Padlock. So huyu kijana hatumshangai sana.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Makamba bana, kwa kujitekenya na kujichekesha mwenyewe hajambo. Yani uandike na kusema mwenyewe kutokubali kwenu matokeo halafu ukaite media na kuomba tume kuwaonya upinzani eti wanapotosha umma kutokukubali matokeo....very low of u!!!!!!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Makamba yuko ITV.... Anaongea upuuzi sana...eti kauli za Mbowe, zake amesahau!..ccm simtulieeee aagrrr!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbagala: Watu wakesha kulinda vituo vya kupigia kura

    Eish!.....U can't do same things and expect different results! The QN should not be how ccm does it whether old or new fashioned, but how new generation does it! Be patient, u will soon find out!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

    Umejuaje zimeshapikwa mkuu? Picha plz
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mzaha wa kiuongozi

    Tatizo letu Watanzania haliko kwa watawala wachache wasiojielewa, Bali liko kwa wanaojielewa wengi ambao wameamua kunyamaza na kuridhika na upuuzi kwa mwanvuli wa "safety" so tusilaumu tunapopitia. Ukichagua hivyo, tegemea kuishi hivyo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Makamanda "UKAWA" tuwe makini sana!

    Wewe mkamilifu ulimi wako unamfupa. Watz bana...mihemko tu!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Makamanda "UKAWA" tuwe makini sana!

    Unaongea kama unaishi USA!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mkulu wa kaya anaunguruma

    Naunga mkono!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mkulu wa kaya anaunguruma

    Anajiaibisha mwenyewe, Raisi juha asiejua wahalifu wanapelekwa wapi hadi aje kulia jukwaani... Ccm imejichoka hata yenyewe.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mkulu wa kaya anaunguruma

    Kwa akili za watz walivyo na ushabiki uchwara jinamizi litatawala hadi litolewe na wachache kwa nguvu. Watu wanashangilia kama wehu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mkulu wa kaya anaunguruma

    Tumia akili yako ipasavyo acha mihemko, mkuu wa nchi unamsema muhalifu jukwaani ulishindwa nini kumswaga ndani? Huoni unajidhalilisha? Kwa akili hizi mtatawaliwa hadi mwisho.
Back
Top Bottom