Recent content by revolutionpower

  1. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    sema anamwogopa aliyempa ajira asimfute ugali wake na kulalal njaaa mwenye mbonga siku zote hupewa heshima jambo-pembeni-mambo jpm
  2. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    hakika huyu ni bashite tusidanganywe na cheti au vyeti vyake hakuna kitu kichwani ama akweli
  3. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Mtawala Alimpenda Msaidizi Wake Mpaka Akaharibu Utawala

    kwa hapo na waunga mkono wananchi wa roma kuwa na uweledi mkubwa wa uwelewa wa kutafuta jinsi ya kujiongoza kwa mujibu wa sheria na sio kwa mujibu wa akili ya mtu peple new revolution continue power generation power.
  4. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Wabunge Kafumu na Kamata, wajiuzulu uongozi kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara

    wamejisahau hawana jipya kilichobakia ni unyanyapaaji wa maendeleo kwa jamii na nguvu za mabavu vikky kamata jiengueni tunavyojua nchi inaongozwa kisheria nasio kwa akili ya mtu
  5. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    ********************************************************************jamani wote wasomi wote na pia walio na elimu ya usawa na walio naelimu ya msingi sekondary pamoja elimu ya juu tuwwe na maamuzi sahihi ya kiakili na uwelewa mwaka wa elfu 2020 tufanye mabadiliko ya kweli huu wa kati ulio...
  6. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    kwakweli haki utawala wa kidemokrasia hakuna demokrasia imetupwa njee na kilichobakia ni kuongea na kutoa maelezo kwa viongozi wenye uchungu na nchi yao kwa kutetea wananchi pamoja na haki za raia w tanzania zilizofichwa na kuwadanganya wananchi kuwa waone serekali iliyopo madarakani ipo njema...
  7. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    ni kweli anatakiwa wazo lake au hoja anayoiyandaa ipitiwe na uwongozi wa chama chake ndipo haiwasilishe mahali usika ................................................................
  8. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    jamni hebu jaribu kutafakari kitu unachoandika au ujumbe unaowaza kuwa unafundisha unaonya nini sio unachowaza unaandika jiongezee???????????????
  9. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    haki ya mnyonge imepatikana paulo na sila waliomba milango ikafunguka na sasa kwa mh:lema naye hakufa moyo alisali na haki yake kwenye mafail ya kasikika kuonekana.
  10. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    kwa kweli kwa watanzania wa sasa hatuwezi kulifumbia macho pasipo uwelewa tatizo tutaendeleza mapambano na haki ya kila mtanzania panapo faa pazungumzwe mjadalalala ni uleule unaendelea hatupotezi mada iliopo mezani
  11. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajamshangaa waziri Mwakyembe juu ya yeye kugombea urais TLS asema neno

    ndundulisi ni kiongozi shupavu aliyepewa upeo mkubwa na mwenyezi mungu na kusema vitu vya kweli japo taifa halimtaki anavyosema ukweli wa mambo na jambo na maendeleo ya taifa pamoja na udanganyifu wa wananchi kwa sera zisizo za maana kwa wananchi na sera za kumpoteza mtanzania asijue matatizo ya...
  12. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajamshangaa waziri Mwakyembe juu ya yeye kugombea urais TLS asema neno

    viongozi wa tanzania wanalewa madaraka pasipo uwelewa wa fikra zao ni pevu hazina mwonekano wala mchango mwa taifa lao wameishiwa na sera pasipo uwazi wa nafsi zao kuwa hazina huruma na wananchi wao .
  13. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

    Ama kweli viongozi wetu wamelewa madaraka licha kufikiria jambo n akukaa na kuropoka vitu visivyo vya maana katika taaluma zao na kujiona wao ni wao jamani tanzania viongozi wa tanzania mnakwenda wapi .................
  14. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

    unaambiwa kuwa na vyeti vingi sio kuwa na uwelewa wa kufanya kitu au kuwa na elimu kubwa na isikusaidie heri kutokuwa na elimu uwe tu na elimu ya awali na ukafanya kitu chenye mfano wa kumwelimisha mtu na mtu akaelewa (nisawa na msomi kuongozwa na asiyesoma na kuwa mwongozaji sahihi kuliko...
  15. revolutionpower

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    WA watanzania huwa tuna matatizo ya kufikiria au kutokuona mbali ya mawazo fulani kutojali nini kitatokea nini au moja baya lisilo na ukweli bali ukweli wa uzuri huonekana baya na wa tanzania tujifunze mambo mengi ya msingi manji kabla ya madawa alikuwa mwema na sasa huonekana mchafu kila...
Back
Top Bottom