Recent content by Revo Busungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Ila IT na Computer engineering ni course mbili tofauti
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Wew tu na mipango yako ya kusoma, ukimaliza IT omba tena Comptr engnrng. isome ni simple....
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Unajua Huwezi kuelewa chochote kwa kitu ambacho hukipendi... Mimi nlicho andika kuhusu multimedia sijacopy, wala kutunga but I understand.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Huyo SODOKA anasoma SUA? Kakosoa nini?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Kitu kimoja ni kwamba... Familia nyingi za ki Tanzania hupenda kuwachagulia watoto nin cha kusoma,..but mi naona Do what you love from your heart. Mtu akifauru Biology, chemistry, na physcs atakwambia nataka nisome MD, au CO... Ila hana ndoto hizo za udaktar mapema sikufichi huwa ndo ilivyo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Yes upo sahihi... Nimechaguliwa DIT
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Said... Unajua sio kila kitu lazma ufundishwe.. Then kama unapenda kitu always unakua keen kufaham kuhusu hicho kitu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Niice Sent from my O1 using JamiiForums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Inategemea unataka kusoma nini? kama nlivosema MULTIMEDIA ipo wide sana.. Na katika suala la wapi utaajiriwa? Au wapi hasa utafanya kazi..? Now days industries nyingi sana.Mfano broadcasting industry i.e RADIO&TV unaeza ukaitwa kufanya setting za sound as Techinician person( namaanisha sound...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    But DIT wanatoa pia diploma....
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

    Well. Kama upo interested kasome ni vi2 ambavyo vipo unique sana,.. Ila kama utaombea cha O-LEVEL utaanza dip.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je nikitemwa second round nawez kwenda kuomba direct chuoni

    Boss utakuwaje na vigezo af utemwe?
Back
Top Bottom