Recent content by Revenger

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Kumpoteza not fair ila kwa kipimo kile kile alichopima na yeye atapimiwa na nyongeza kdg.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Unataka kujua ?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Anajua vizuri sana kuwa ana mume na ananifahamu. Nilichoamua ni kupita na mke wake Na kumkomesha kwa 'wataalam'
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Good idea
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Yes. Na hichi ndicho namfanyia. Maumivu yale na mvunjiko alionisababishia na yeye a feel
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Hili pia nililiwaza.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Am ready for anything as long as mission successful.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    jerrybanks, Nipe connection ya huyo dada nimpe kazi. Actually kwa sasa natumia mbinu zoote zitakazofanikiwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Nipe huu mchango niliuwaza pia
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Sure anahitaji lesson coz kiburi chake ni kikubwa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Ni dharau kubwa sana sana na haitakiwi kuachwa bila kuishughulikia
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipiza kisasi

    Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao. Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami nikamwonya zaidi ya mara tatu. Hivi karibuni nikathibitisha kuwa ni kweli ametembea na mke wangu. Sasa...
Back
Top Bottom