Recent content by Rev lusungu

  1. R

    Kwa Neema FM hawaepuki Dhambi hii ya Buseresere, TRCA Nanyi Amkeni sasa!

    Tunaweza kuendelea kuongea hapa kishabiki lakini tukumbuke kilichotokea Geita sio jambo dogo! Migogoro ya dini imekuwepo nchini muda mrefu bila kutatuliwa. Geita imefungua ukurasa mpya, haijawahi kutokea waislam na wakristo kuuana, huko nyuma ilikuwa kama mauaji yametokea basi yamefanywa na...
  2. R

    Tunaelekea Wapi na Migogoro hii ya Kidini?

    Vyombo mbali mbali vya habari jana usiku na leo asubuhi wamaripoti kuhusu vurugu za kidini zilizotokea Geita. Vurugu hizo ni muendelezo wa hali tete baina ya wakristo na waislam ilioendelea hapa nchini kwa muda mrefu. Mwaka jana ulikuwa mwaka mgumu sana na tulishuhudia hali hio ikichukua...
Back
Top Bottom