1. Usimwambie mtu yeyote jinsi mwenzi wako alivyo dhaifu. Mtu anaweza kutumia hilo dhidi yako/ao.
2. Usiwaambie watu jinsi mnavyogombana na mwenzi wako, wawaone mmekamilika kutoka nje wakati mnatatua mambo ndani.
3. Hata rafiki wa karibu usimwambie pesa ngapi unapata pesa kiasi hani kutoka kwa...
Kila changamoto inapokuja kwenye maisha huwa inakuja kwa sababu maalumu na siyo kwa bahati mbaya, kwa hiyo hutakiwi kuikimbia changamoto inayokukabili na badala yake unapaswa kuikabili changamoto yako kwa akili, hekima na utashi wa hali ya juu sana kwa sababu;
1. Kila changamoto inakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.