Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge.
Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine.
Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo.
Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara...
Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe.
Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi?
Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
Nimeona kuna mamluki wamefanya utafiti wao na wamechapisha majina ya wale wote waliotangaza kujiondoa chadema; list yao inaonyesha asilimia 75 ya wanaoongoza huo utaratibu ni Kilimanjaro na wilaya zake.
Je, unakubaliana na huo utafiti au ni propaganda tu zinazoendelea? Wameenda mbali zaidi...
Msajili anaandika kwa kuzingatia sheria ; yule ni Jaji ni vigumu kwake kuandika mambo yasiyokuwa na msingi wa sheria.
Mnaotaka kuichafua ofisi yake msidhani kama yeye hana macho na wataalam wakumsaidia kuchakata hizi hoja
Lakini pia yeye mwenye alikuwepo kwenye uchaguzi na kila mtanzania...
Vyombo vya habari vya Tanzania havina udadisi. Magazeti yameandika habari ambazo hata msajili wa vyama hana habari nazo.
Nimefuatilia nakubaini kwamba hakuna chombo cha habari chenye maamuzi haya na wala hakuna barua ambayo Mchome amekubali kupewa nakala. Hizi habari zimechapishwa kuwapima...
Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu
1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
Tuliaminishwa amani inaambewa. Lakini viongozi wa dini wameamua kuacha kuomba nakubaki washauri.
Je, kama Taifa tutegemee maombi au tuishi kwa kutumia akili na utashi wa mwenyenzi Mungu unaoiwezesha Dunia kutambua mema na mabaya?
Viongozi wa dini wamekuwa wakienda maofisini na maeneo mbalimbali wanapoitwa na wanasiasa. Wakiwa mbele ya wanasiasa wote ugeuka nakusifia kwamba hali ni shwari
Lakini weekend hii wametoa matamko magumu sana utawala wa kisiasa nchini. Wamezungumza kama vile wamewahi kuomba forum ya kuwaeleza...
Mzee Warioba amesema yeye na wazee wenzake wanaingia kazini kusaka suluhu ya INEC na CHADEMA bila kutafuta aliye sahihi
Je, INEC itamsikiliza? Itamwelewa? Itatekeleza?
Chadema watamsikiliza? Watamwelewa? Watatekeleza?
Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa
Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge
Ameeleza viongozi wengi wa umma wameomba kugombea lakini akataka wasipewe idhini hadi wafanyiwe special audit
Je...
Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani?
Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa.
Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu kuogopa kukisemea chama badala yake wanaokisemea chama kwa sasa ni wana habari, wasanii, baadhi ya...
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.