Recent content by renn

  1. R

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Nikweli watz.tunamtaka rais anayeamini katika mahali anakotokea au aliaga au hakuaga?Zitto nilikuwa nakuamini balaa! nanimekwishawahi pigwa mabomu kwasababu yako na CDM sasa leo umejionesho uwezo wako wakutatua mambo mazito yaqnayokukabili.unatoa hoja nyepesi kama mtoto nikujuavyo wewe kama...
  2. R

    kwanini wanasiasa (vijana wenzetu) wanafikiri kitoto hivi?

    Hoja inayojaribu kujengwa na Januari Makamba kuhusu rais anayetufaa 2015 niyakitoto.Naamini hata mwanafunzi wakidatu cha pili hatajikita kwenye umri kwasababu anajua hiyo siyo hoja kamwe."Vijana wenzangu na weatanzania wote kwaujumla tusidanganywe na wanasiasa waliofilisika kisiasa kama...
Back
Top Bottom