Recent content by RENDE MICHAEL

  1. RENDE MICHAEL

    Kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka?

    Tunaposema kuwa deni linaongezeka kwa shilingi elfu moja kila siku na hapo hapo tunaambiwa kuwa uchumi unaongezeka je kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka? Na je ili tuseme uchumi umekuwa nini vielelezo muhimu vinavyoashiria ukuaji wa uchumi na vyapaswa viwe katika...
  2. RENDE MICHAEL

    Ufugaji wa Nguruwe

    Mtaji mzima wa ufugaji ni shingapi na je utawajuaje mbegu nzuri ya nguruwe?
  3. RENDE MICHAEL

    Ufugaji wa Nguruwe

    Ningependa kujua ufugaji mzuri wa Wangwe na wenye faida na soko lake pia
Back
Top Bottom