Recent content by Renatus Diluz

  1. R

    January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    Nchi yyt duniani haiwezi kuendeshwa bila kodi. Tatizo le2 watz kila ki2 siasa. Hatuna uzalendo kbs wa kulipa kodi. Ni nchi gn ambayo kiongoz anaongoza kwa kutumia pesa yake? Kodi hy wl haina kero kwa mtumiaji,ila tunataka kulitumia kisiasa kwaajili ya maslahi ya vyama vyenu!! Sioni mantiki ya...
  2. R

    Serikali Tatu ni Gharama- Sadifa

    Mfumo waserikali mbili unatunyonya watanganyika,na umefuta kbs utaifa! Ni sawa na dagaa kummeza nyangumi. Km hoja ni muungano,mfumo mzuri ni waserikali moja. Mfumo wa serikali tatu ni hatari kwa usalama wetu,kutokana na mahusiano ambayo Z'bar hutaka kushirikiana na nchi za kiarabu ambazo...
  3. R

    Lowassa kaanza kampeni ya urais 2015?

    Lowassa hajaanza kampeni ila asasi nyingi zinamkimbilia kwasababu ana moyo wa majitoleo zaidi. Kwakuwa wengi wetu wanataka awe mmoja wa wagombea,bs kila anachofanya sasa hivi anaonekana anafanya kampeni. Mi naona anakubalika sana,ndo maana anaalikwa kila sehem.
  4. R

    Bomoa bomoa ya Pombe Magufuli yaanza.....jengo la business park ( green acres ) labomolewa

    Hongera sana Magufuri,kwan hao wanaojiita wenye pesa wanajifanya wako juu ya sheria. Tunahitaji viongozi km ww wenye kucmamia sheria.
  5. R

    Ziara ya Obama; Kenya wazidi kuitenga Tanzania, waishawishi Burundi kujiunga G4

    Kiroho kinawauma sana kuona viongozi wakubwa wanatua kwetu. Hawana jipya hao,acha waamue watakachopenda wao.
Back
Top Bottom