Recent content by Remigius Mushenga

  1. R

    Nsumba Secondary School!-Mwanza

    Mnamkumbuka Kamote? Alikuwa headmistress wa Nganza. Je mnakumbuka Mgomo wa chakula uliopelekea FFU kuvamia shule usiku, wanafunzi tulikimbia hadi kwenye ufukwe wa ziwa tulikokuwa tukichota maji.
  2. R

    Nsumba Secondary School!-Mwanza

    Hello Wana Nsumba sekodari 1981 to 1984. Habari zenu. Mimi naitwa Remigius Mushenga (shuleni nilijulikana kwa jina la Lwizaki) Bweni langu lilikuwa Lumumba chumba 3. Jamani Nsumba ilikuwa Nsumba kweli kweli. Mnamkumbuka jamaa 1 alikuwa anaitwa Anko akiwa mlemavu wa mkono. Alikuwa gangwe...
Back
Top Bottom