Recent content by Remastar

  1. R

    JamiiForums Tanzania Njia ipi rahisi ya kuhama kozi chuo cha UDOM

    kaka una mkopo kwanza? maana ni sheeeedah!!!!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Ukipata bora ukae kimya au unadhani hakuna wananchi wenye hasira kali acha kukatisha wenzio tamaa! Alafu nyie ndo wakufungiwa jiwe shingoni na kutoswa baharini!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Kama exhausted hao wengine hela mnaitolea wapi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Eti bado budget exhausted sasa hiyo hela ya kuwa kata kilimi baadhi yetu mmeitoa wapi?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tumaini kwa waliokosa mkopo HESLB

    Kama kuna anaejua jinsi ya ku appeal anisaidie
  6. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekosa mkopo anapewa meal and accomodation allowance?

    Mwenye uzoefu na ku appel atusaidie jamani....mwaka huuu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    naomba msaada ndugu s1441/0052/2011
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    ndugu kwa UDOM vipi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    s1441/0052/2011 msaada mkuu sijalala leo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu gharama za awali UDOM

    habari ndugu zangu wapenzi...mimi mpaka sasa nikijaribu ku download admission later nashindwa..sasa ninachokitaka ni msaada kwa anaefahamu hata gharama za mwanzo ili nijipange mapema zaidi me ni first year
  11. R

    JamiiForums Tanzania UDOM admission letters

    Jamani mbona hata mimi inazingua najaza fresh kila kitu lakini inagoma ku log in nifanyaje na tumia p. C
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Kaka tunashukuru kwa mwanga uliotupatia Namshukuru kwa kuchaguliwa Dodoma Mwenyezi mungu akubariki sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    :dance:dooooh we acha bhana mpaka naliona jina nimesha ugua sanaa
  14. R

    JamiiForums Tanzania NACTE na equivalent bado utata tupu

    sijui niwapigie magoti
Back
Top Bottom