Umeonesha ni kwa jinsi gani una upeo wa kuchambua mambo mbalimbali. Hongera sana
Ila wasichokijua bara ni kua Zanzibar ni tofauti sana na bara. Zanzibar wanashindwa kufanya maendeleo mengi kwa udhalimu wa chama tawala na bara kuwapangia nani awe mshirika wao kwenye maswala yote hasa ya kiuchumi...
Nachoshangaa ni kuona mtu mwenye akili timamu anakuja na hoja dhaifu sana. Sheikh ponda kanyanyaswa sana udhalimu wa serikali ya CCM kwa miaka mingi. Kapigwa risali, kafunguliwa kesi nyingi za uongo na mpaka kufikia kufungwa. Ana haki ya kutetea nchi itoke kwenye udhalimu huu.
Amsterdam ni...
Hili swala ni sawa kabisa na lile la bakwata kusema inamuunga mkono JPM. Lakini hao wanaoongea ni sehemu ndogo sana na kufanya kosa la kutaka kuwawakilisha na wale wasiokubaliana na msimamo hup. Huwezi sema kisa bakwata wanaunga mkono mgombea basi waislamu wote wanaunga mkono. Hii ni sawa kabiaa...
Tupe evidence mzee. Unajua ukiongea kupinga bajeti husemi kipengele gani na sababu ni nini. Wapinzani hua hawapingi maendeleo ila wanajaribu kuangalia mbele zaidi kwa maendeleo ya watanzania wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.