Recent content by REKIK EL SHABAZZ

  1. REKIK EL SHABAZZ

    Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Mkuu tatizo lipo maana mtoa mada ameandika baadhi ya vitu ambavyo si vya kwel, Na wachangiaji wengine wamekuja kuendeleeza uwongo, Kwa maana hiyo munawadanganya watu
  2. REKIK EL SHABAZZ

    Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Mkuu,humu ndani watu wanapigaana uwongo tuu kwa asilimia kubwa. Hakuna LI- PAULO kuna PAURO.
  3. REKIK EL SHABAZZ

    Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Mkuu,kama ww umekaa Zanzibar miaka 7 Mm ndipo nilipozaliwa na kukulia na mpaka saiv naishi Zanzibar. Kwa maana naijuwa vzr Zanzibar yangu maana nishaishi Pembaa na Unguja pia. Nasema tena ,tatizo lenu nyinyi munapenda kuyaamini maneno ya kuambiwa wakati mengne ni uwongo. Ww unasema umekaa...
  4. REKIK EL SHABAZZ

    Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Mkuu huo ndio ukweli, Aslimia kubwa sanaa ya machangudoaa waliopo Zanzibar ni kutoka Bara. Tatizo leo nyinyi watu wa bara munapenda kuyachukulia maneno munayo yasikia, Na kuyamini kwa aslimia kubwa bila kufanya uchunguzi. Naona humu munapigana uongo mwingi kuhusu Zanzibar yetu but hatupo kama...
  5. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    We jamaa nilikuona upo vizuri kichwani kumbe muda mwengne dishi linayumbaa sanaa. Sikutegemea kama na ww ungefuata hisia zakoo ktk hili ,na kushindwa kutumia akili yako kama ktk maada zengine. Zanzibar hakuishi malaika ila kii maadili tupo vizuri kuliko watu wa Bara. Hata kama kama michezo hyo...
  6. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Mkuu, Ni naumia sana kuona hawa wabara wanatuhumu kwa tabia za watu wachache. Mwanzo kufika Chuo huko Bara, nilipata tabuu sanaa kila mmoja. Ooooh nasikia munapenda kula TIGO ,maraa mademu wanatka niwale TIGO [emoji34][emoji34]. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Mkuu ,mimi sipingi maneno yako,mashogaa wapo wengi sana mpaka ktk mtaa ninao ishi wapo. Wapo ambao nilisomaa nao wengine hadi wananitongoza . Ila ninacho pigaaa mimi,mleta maada anasema sisi wznz tumekubali ushoga wakati sio kweli. Alete ushahidi hapaa. Mi nasema suala la ushoga ni tatzo la...
  8. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Mkuu,hawa vichogo uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana. Wao wanawake mbele hisia zao ktk kuhukumu k2 kuliko kuongelea uhalisia wa jambo. Wanakuja na sbbu za kipumbavu ,atii oooohh urojo urojoo, wakati urojo ni chakula kama vyakula vyengine. Wanasahau kuwa kila jamii inatofautiana kwa baadhi ya...
  9. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],kitu kinacho nishangaza,WABARA MUTAKA MBEGU ZETU [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]mtu mzima unamkuta ati natka...
  10. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Jiulize sasa,anawowaunga mkono ni nani? Jee ni sisi wananchi ? Ama . SIRI YA MTUNGI,AIJUWAYE KATA. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Nyie mungu aliwajuwa, huku duniani hamuna cha maana cha kufanya ndo maana akawapa vichogo, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Kwann isiwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Nishawajibu [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Ila dada zenu wanatushobokea sana ,why? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. REKIK EL SHABAZZ

    Kwanini Wanamuziki wengi wa kiume kutoka Zanzibar wapo hivi?

    Let me tell u something, Ati kwa sbbu waznzbar wanalelelwa na kukulia ktk maadili mema, Sii sbbu ya kusema kuwa hatuna tabia mbaya . Kwa hakika dunia imebedlka ndo maana licha ya kuwa wazazi wanatulea ktk maadili ila mwisho wa siku tunabadlika ati tunaenda na wakat Ila suala la kuwa shoga...
Back
Top Bottom