Recent content by rehehizy

  1. R

    Nielezeni jamani.

    Wana jf naomba mniambie sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kwa msichana?
  2. R

    Ushauri wenu ni muhimu

    asante kwa ushauri ntafanya hvyo.
  3. R

    Ushauri wenu ni muhimu

    Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomba mniambie nifanye kitu gani? Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni?
  4. R

    Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

    asante kwa ushauri sababu mwenyewe huwa nakosa raha nakujiulza kwanini akatae kupima ina maana ananiamini mimi sana kuliko maisha thank for your advice!
  5. R

    Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

    kiukwel sijawahi kufanya mapenzi ata siku 1 na yeye analijua hilo na siyo kwamba nilikuwa nambania tatizo ata kwa mda huu naweza fanya naye ila kupima ataki kabisa.
  6. R

    Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

    mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na...
Back
Top Bottom