Sekta ya mifugo ina nafasi kubwa katika kujenga uchumi imara wa taifa, kuongeza kipato kwa watanzania wanaotegemea mifugo, kutoa fursa za ajira pamoja na kuhifadhi rasilimali za taifa, Jukumu kubwa ni kujenga mazingira mazuri yatakayotoa fursa za kuongeza kipato na ajira kwa wafugaji wadogo...
Kilimo na mifugo katika taifa la Tanzania ni sekta muhimu sana kwa sababu inachangia takriban asilimia 40 katika Pato la taifa.
Pia kilimo ni uti wa mgongo wa nchi kwani takriban asilimia 80 ya watanzania wanategemea shughuli hizo Ili kukimu mahitaji yao ya kila siku ikiwemo chakula, malazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.