Recent content by Reez Madgan

  1. Reez Madgan

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yoyote aliyechaguliwa IFM aliyefanikiwa kufanya confirmation?

    Wadau naomba kuuliza hivi kuna mtu yoyote aliyechaguliwa IFM amefanikiwa kufanya confirmation, Maana system inaniletea blank page nikiweka zile codes za TCU. Msaada tafadhali
  2. Reez Madgan

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Wadau kama kuna mtu mwenye update za udsm third round msaada wakuu
  3. Reez Madgan

    JamiiForums Tanzania CONFIRMATION CODES AWAMU YA TATU

    Wadau naomba kuuliza kama kuna aliyepata confirmation codes kwa watu huku watu wa multiple third round tujuzane wakuu
  4. Reez Madgan

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DONDOO KUHUSU THIRD ROUND

    Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali wakuu popote mlipo jitokezeni
Back
Top Bottom