Ukiwa Huna neno zuri la kusema kuhusu jambo fulani ni bora ukakaa kimya.
Tambua ya kuwa binadamu tuko tofauti, kila mtu Ana namna yake ya ku cope na changamoto zinazomkabili.
Hujui ni magumu gani anayoyapitia.
kumpa moyo na kumfariji nahis ingekuwa jambo jema zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.