Recent content by Reen tz

  1. Reen tz

    Ushauri kwa wanao ingia kwenye mahusiano

    Watu wengi katika maisha wamekuwa wakilaumu upande mwingine iwe mke wake au mume wake kwamba ndiye sababu ya kuvunjika kwa uhusiano au ndoa yao. hakuna jambo muhimu maishani mwako kama huo uamuzi unaotaka kufanya, unaweza kukupa furaha ya maisha au uchungu wa maisha. Unaweza kujenga ndoa kwa...
  2. Reen tz

    Ushauri kwa wanaotaka kuanza maisha mbali na wazazi

    Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali. Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa. Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani...
  3. Reen tz

    Ushauri juu ya unywaji wa soda

    Lakini ni dhahiri kwamba soda imekuwa ikihusishwa na magonjwa lukuki; saratani, figo, mifupa, mstuko wa moyo. Pia, unywaji wa vitu vya sukari pia unasababisha kuwa na unene, kitambi na upungufu wa madini muhimu mwilini. Soda haina umuhimu wala faida mwilin. Orodha hiyo ya athari za unywaji...
  4. Reen tz

    Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Unamitazamo gani hebu funguka ukiwa kama miongoni mwa walipakodi
  5. Reen tz

    Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Wewe una maoni gani kama miongoni mwa wananchi walipa kodi
  6. Reen tz

    Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Ni kweli na hili tatizo lipo kwa kila mmoja aliye chini ya sheria ikiwemo wewe naamasisha wananchi kwa sababu serikali ni mapendekezo ya wana nchi wenyewe ikiwemo wewe kwanini tusilitatue wote
  7. Reen tz

    Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
Back
Top Bottom