Ni ajabu kwa wasomi wanaotumia vitabu sawa na kujifunza kitu sawa kushindana juu ya mahali gani wamesoma. Location of where you read the book is immaterial whether in UDSM or elsewhere, its the content that counts, were u keen enough to grasp the concept or not?!, i once met a young man studied...
hata chabo haziruhusiwi chumba cha mitihani na watu wanajiandika, wanaandika kwenye rula, kwenye viti, swala hapa lipo mbali na uhalali, lina husiana zaidi na 'kujilipua' do or die..wataalam wa mig wanaelewa hili sana.
Enzi za wazee wetu hapakua na search engines wazee wetu walijifunza kutumia akili zao kutunza kumbukumbu.
Kwa kizazi chetu cha kisasa computer na simu zinajua vitu vingi kuliko sisi, ubaya ni kwamba hata namba muhimu tumezitunza ndani ya simu, namba ya kadi ya benki, namba mita ya umeme...
Watu wa diploma waulizeni NACTE, mwaka jaea ilikua nafasi TCU zipo ,nacte hamna, ingawa system ni moja lakini kila taasis imepewa idadi yake ya wahitajiwa,NACTE Kuzuri, kama una matatizo katika ku apply ama system yako haileweki unapewa nafasi ya kujaza pale pale.
NB. Usiweke miguu nyumbani...
Kama tatizo ni la chuo chenu kuchelewa kupeleka matokeo wape muda ,ila, kama tatizo ni systems yao ni vema ukaenda ofisini kwao uka appy hapo hapo ukamalizana nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.