Recent content by redtiger

  1. redtiger

    Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Wadau naombini mnishike mkono kama kuna kazi yoyote ya kueleweka kidogo ambayo ni ya halali naombeni mnisaidie na Mimi nipate chochote kitu hata kidogo basi Nipo Dar es Salaam jinsia wakiume miaka 25 elimu kidato Cha nne kama Kuna kazi ya duka stoo viwandani kufanya usafi ofisini nk
  2. redtiger

    Wafanyabiashara Halali wa Mbagala wanawezaje kulipa kodi ikiwa Wamezibwa 100% na Wamachinga?

    Usichojua wale MACHINGA wengi wao pale wanachukua mzigo kutoka kwenye maduka makubwa hapohapo ndiyo wanaenda kuuza kwa makubaliano kifupi zile biashara ni zawenye maduka makubwa palepale wale MACHINGA ni wauzaji tu wakiuza pesa wanapeleka kwa wenye maduka wao wanapewa chochote kitu
  3. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Nilipata matatizo ya masikio baada ya sauti kuwa zinanisumbua sana sasahivi sisikii vizuri
  4. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Mimi kwenye kambi za jeshi nishakaa Kambi tatu za jeshi
  5. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    SIYO rahisi kama unavyofikili mpunga nishalima kyela mbeya. Nishaingia kwenye shamba la korosho ungejua kwanini wakulima wanayatelekeza mashamba Yao kwanza kilimo kinahitaji pesa na mm Sina kitu pesa ya kukodi shamba pesa ya dawa kuliangalia shamba na muda wa kusubiri mavuno sehemu ya kukaa
  6. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Na kumbuka hakuna mjinga anayejiwazia mabaya siku zote mjinga uwaza kizuri zaidi hivyo kama kumpata yangempata mazuri Wala siyo mabaya
  7. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Miaka yangu ni 25 elimu kidato Cha nne kama unaweza kunisaidia a nikakata hii hali nikaondoka hizi sauti kabisa naomba unisaidie maana mm nimejaribu sana nimeshindwa
  8. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Mimi siyo msomi Wala sijui vizuri matumizi ya lugha sahihi hivyo kama wewe unaijua lugha vizuri kuisoma na kuiandika basi usifikilie kila mtu ni msomi na anakijua lugha harafu usitake kujifanya mjuaji sana mimi kinachomitesa ni matatizo ya kiimani siyo mvivu kama kazi nishajaribu sana kufanya...
  9. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Maumbi siyo tabia tambua hilo inaweza kubadilisha rangi ya mwili jinsia kama ulivyosema ila uwezi kubadilisha tabia yako asili yako uliyozaliwa. nayo harafu mimi nimeeleza hapo kinachomitesa siyo tabia ni nguvu zingine kabisa ambazo zipo ndani ya mwili wangu ndiyo tatizo kama kijichanganya na...
  10. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Nazani ujawahi kupitia Hali kama hii Wala haujawai kukutana na kitu Cha ajabu katika maisha yako nilijaribu kujihusisha na ufundi wa magari nilikuja kupata ugonjwa wa kutisha sana nikatibiwa kwa njia ya asili nilijaribu kufanya biashara nikafeli vibaya sana pesa inapotea bila kuonekana yaani...
  11. redtiger

    Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Habari Wana jamii forums. Kama nilivyotangulia hapo juu basi nipo hapa kuelezea magumu ninayoyapitia kwa Sasa maishani mwangu na sioni dalili ya kutoka katika Hali hii niliyonayo Sasa zaidi naona inazidi Mm ni kijana wa miaka 25 Sina wazazi nilishapotoza wote wawili nimezika nipo na ndugu...
  12. redtiger

    Naomba connection ya kazi

    Achana na kazi za viwandani Kule ni mateso matupu
  13. redtiger

    Msaada wa kazi au kibarua cha uwakika kwa mkoa wa Dar Es Salaam

    Kazi ipo maana ninahitaji sana hapa
Back
Top Bottom