Recent content by redstar

  1. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaunguruma jimbo dogo la uchaguzi udiwani kata ya Tungi Morogoro

    Nyie wote sio wakazi wa tungi.bla bla zenu zitatuumiza sie wakazi wa tungi.ushabiki wenu wa kisiasa hautotusaidia.bado miaka 2 tu.acheni kusikiliza propoganda za mbowe.huyo ana majumba na mahoteli ya kifahari dar na moshi.hoteli yake moja moshi kwa siku unalipa dola 1800 sawa na milioni mbili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaunguruma jimbo dogo la uchaguzi udiwani kata ya Tungi Morogoro

    Morogoro mjini tumetulia.hakuna vurugu. wananchi wa tungi,tutamchagua mgombea wa ccm kwa sababu wa chadema hatoweza kutufanyia lolote maana madiwani wote 28 wa ccm.wakazi wa tungi tutaumia.asubiri 2015.nawaombeni wakazi wote wa tungi tumchague mgombea wa ccm maana tutataabika sana ikiwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CCM na CHADEMA wapigana Morogoro

    hongera sana mbunge abdulaziz.umeonyesha ukomavu wa kisiasa bila ya kujali ugomvi wa vyama.sisi wazazi tumefurahi sana kuona watoto wetu wameanza shule.bwana yesu akubariki daima.
Back
Top Bottom