Nadhani unataka kuunganisha na app yako. Sasa inategemea ni app ya aina gani. Wep app, desktop, mobile. Pia lazima ujue ni dbms gani unataka kutumia MySQL, MS SQL na nyengine. Kamatafute bucky on youtube, new boston tutorials atakusaidia. thenewboston - YouTube
Kama unatumia 000webhost, wanayo phpMyAdmin unaeza kutumia kumanage ur databases na tables. Na hao wanakuwa MySQL, so pia jaribu ku-google tutorial za MySQL on youtube I am so sure zimejaa
Uchakuaji ni aina ya wizi. Ama wengine wanaita 'piracy'. Nnvyojua mimi pirate anakuwa na meli kama Cpt. Jack Sparrow :wink:. Ni neno ambalo limeekwa ku-demonise file sharing online! which is not right!
TPB AFK: The Pirate Bay Away from Keyboard HD (multi subtitles) - YouTube
first neno 'uchakachuaji' ni neno zito sana. Tutumie 'Sharing'.
Pili, ni kosa ya makampuni maakubwa ya software ambayo yanatumia copyrights na patents kuua industry. Nikinunua software basi niwe na haki ya kugawana na rafiki zangu na niitumie nnavyotaka bila kubanwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.