Recent content by REDA Electrical

  1. REDA Electrical

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    now nimeacha kabisa baada ya kujua tatizo
  2. REDA Electrical

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  3. REDA Electrical

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    Hii nayo ni shida kwangu. Sex zote mbili nilikuwa naziwaza siku moja kabla hata ya kusex Itakuwaje nitakaaje mpk natamani angekuwa hata sasa. Ngoja nianze kuona kawaida tu now.
  4. REDA Electrical

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    Kwenye nyeto kulipata la pili ilikuwa mtihani na nilikuwa naishia la kwanza tu. La pili mpk dakika 15 nijivute ndio lije ila now hata la pili hata la tatu na kuendelea yanakuja fasta tu. Ila niliacha kitambo nikaanza kumsifu Yesu Ila now ushetani umeniingia mwezi huu
  5. REDA Electrical

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 24. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi. Natulia sekunde inaanza kusimama tena. Juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani...
  6. REDA Electrical

    Natafuta kazi, nina fani ya Ufundi umeme

    hamna kwa sasa nimeingia
  7. REDA Electrical

    Natafuta kazi, nina fani ya Ufundi umeme

    Habari zenu, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24. Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha. Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta mpaka level 2 ya umeme. Ila ikipatikana tofauti na hiyo ninafanya. Nipo Dar kwa sasa
  8. REDA Electrical

    Mimi ni fundi umeme natafuta kazi katika kampuni yoyote

    Napambana sana kitaani ila connection ndio muhimu na kujulikana sana
  9. REDA Electrical

    Mimi ni fundi umeme natafuta kazi katika kampuni yoyote

    Mimi ni fundi umeme, Ninatafuta kazi katika kampuni yeyote elimu ni certificate level 2 Nipo Dar es Salaam kwa sasa
Back
Top Bottom