Mtu anawezaje kuamka kutoka atokako na kudai wanaccm wote wameshaamua kuwa Lowassa ni chaguo lao? Matusi gani haya? Kama kwako ameshafika bei, shauri lako. Lowassa akiwa Rais wa Tanzania itakuwa janga la kitaifa kwa miaka 10. Usisemee wengine. Jisemee mwenyewe. No research, no right to speak.
Kama uko kwenye mawazo yangu Ben. Mtoa lawama anatumia njia ile ile iliyotumiwa kimakosa (kama anavyodai) kutoa maoni yake. Nae ni kiongozi wa taasisi hiyo hiyo. Inachekesha na kuhuzunisha sana. Nilitegemea angepeleka malalamiko yake haya kwenye hivyo vikao anavyotaka yapelekwe ili kutumia...
Nakumbuka ukumbi huu uliwahi kuwa wa hoja za msingi sana. Mbona zinaanza kuwa hadimu? Nimesoma thread karibu zote hapa ni kutukanana na kukashfiana tu. Nchi hii ina matatizo kibao ambayo wengi mngeweza kuyazungumzia kuliko kutumia page zaidi ya nne (4) kumzungumzia mtu mmoja ambae hawezi hata...
This is pure nonsense. Bobuk ameandika hii akiwa anaota, hakuna explanation nyingine yoyote. Maana hakuna ukweli hata chembe katika kila mstari alioandika hapo juu.
Sidhani kuwa anaweza kuendelea kujibu haya. I knew this day was coming.
Kuna wakati huwa najiuliza kwanini wanasiasa wanakuwa wabinafsi namna hii. Maana ni sawa na kukata tawi alilokalia. CDM ikiweza kuchukua hatua kwa wasaliti wa chama kama hawa, ndipo nitakapoamini kuwa ni chama mahiri na...
Kipato sio lazima kiwe kikubwa sana kuwa na maana. Maana ukubwa wa kitu unategemea na mtazamaji. Kipato kinaweza kuchukuliwa pia kama fursa ya kutumia tu, hata kama hakitaingia mfukoni.
Madiwani wanataka kutumia pesa za umma kwenda Rwanda kwa wingi wao. Ina maana wakienda wachache au wakiagiza...
Sina uhakika kuwa inahitaji muda mrefu sana kutatua tatizo linalojulikana na hasa kwa kuwa alishasema analiweza. Kinachotakiwa ni kuanza kulitatua na kupima hatua kwa hatua ufanisi wake. La sivyo, itapita miaka 20 akiwa mbunge na asiwe amefanya lolote kuhakikisha matatizo yanayoahirishwa...
Zomba, hata mimi siamini kuwa madiwani wa Moshi wnaataka kwenda Kigali kujifunza ku-flash vyoo au kufagia. Nadhani wamebuni kautaratibu ka kuongeza kipato tu.
Kama wangekuwa na nia nzuri na kuonyesha uongozi bora, wangeleta wawakilishi wawili au hata watatu kutoka Rwanda kuja kuitembelea...
[SIZE=3]Hivi maji bado hayatoki Ubungo? Nilidhani ahadi hii ya maji ilikuwa ni ahadi kuu iliyotolewa na Mbunge wakati akiomba kura mwaka 2010. Naamini muda wa kuitekeleza upo. Maana inaweza kweli kumpa shida mwaka 2015 atakapoomba kura tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.