Recent content by Recayrin Faith

  1. R

    Tunatafuta mshonaji wa nguo anayeishi maeneo ya Kibamba

    Ni biashara ya kutengeneza nguo aina tofauti kwa jumla na rejareja. Na tunatafuta mtu wa kusaidia na kazi tofauti za ushonaji. Sifa 1. Awe anajua kushona (sio mwanafunzi) 2. Awe mchapakazi 3. Awe anaishi maeneo karibu na Kibamba. (Kiwanda kipo luguruni, kwahiyo tunatafuta mtu aliye kuwa karibu...
Back
Top Bottom