Recent content by reca

  1. R

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  2. R

    Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    Hawashirikisha waumini,tunaweza kujenga na hatujawatuma kuitisha harambee.
  3. R

    Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    KKKT rudisheni hiyo pesa ya mchango,waumini tutachanga Ili ujenzi ukamilike.Mungu wetu ni Mkuu sana ,Kukemea maovu na utekaji ni kazi ya ukuhani ,mashetani ni wale watekaji na wanaokataa kuonywa.
  4. R

    Naombeni msaada, hii ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa oral Utumishi

    Asante ila wamesema tu Employer ni Mkoa wa Dodoma ila sehemu ya kufanyia usaili wa mahojiano hawajataja.
  5. R

    Naomba ufafanuzi kuhusu eneo la kufanyia usahili wa mahojiano kada ya afya

    Afisa Lishe waliopangwa Mkoa wa Dodoma Oral interview inafanyika Dodoma sehemu gani ?maana imetajwa tu Mkoa wa Dodoma.
  6. R

    Naombeni msaada, hii ni mara yangu ya kwanza kufanya usaili wa oral Utumishi

    Nauliza wadau Oral interview ya Afisa Lishe Mkoa wa Dodoma inafanyika wapi maana nikiangalia Ajira Portal sioni kitu
Back
Top Bottom