Recent content by Rebeka 1

  1. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameiumiza Ubungo kwa miaka 10

    Kwa anaeijua vizuri Ubungo kama Jimbo atakua shaihidi kuwa CHADEMA hawastahili tena kwanzia ngazi ya UDIWANI hadi UBUNGE. Ubungo inamindombinu mibovu ya barabara ambayo lilikua Jukumu la Mbunge na Balaza la Madiwani. Chadema mlipewa Ubunge mmepewa na halmashauri lakini vitu vya kawaida tu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    Nasubiri ulivue nivae mimi maana tangu ulilivaa huvui
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    Una makengeza ya kufikiri. Ukitoa urasmi hujui kama ndiyo unarudi kule kule kwenye kuwaumiza
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    Wewe utakua ni mgambo uliyekuwa unanufaika na ukamataji wa machinga
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    Hayo umesema wewe hakuna pahali lisu kazungumzia elfu 20
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu asema atafuta vitambulisho vya machinga kwasababu elfu ishirini wanayotozwa ni wizi mtupu, haijulikani inaenda wapi

    LISSU ATANGAZA VITA DHIDI YA WAMACHINGA TANZANIA. ASEMA, WAMEKUA KERO KWA WAFANYA BIASHARA WA KIGENI. (kutoka Tunduma Mbeya) Anayetarajiwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya CHADEMA ndugu Tundu A Lissu ameweka wazi msimamo wake juu ya Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Unafahamu mioyo inayovuja damu wewe?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Mko wangapi watu wenyewe hadi wawaondoe
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Chomeni muone cha mtema kuni yaani mmechoma makusudi ili mpate uhalali wa kuchoma za ccm
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Nanyie wachoma makaratasi ofisini?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Baada ya kuona yamekuchoma
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Ndiyo imekula kwao
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Kwambinu ya kuchoma ofisi mtamtaoa nani siasa za huruma hizo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Chadema wanatafuta kiki za kijinga
Back
Top Bottom