Mimi pia kama membe sikufurahishwa na vifo vya wale watanzania wawili pale arusha kwa maandamano ua chadema mmoja alikuwa muislamu mwingine mkristo pia sijafurahishwa na walivyouawa watanzania pale tarime mgodini naungana na membe kulaani vifo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.