Recent content by realnegro

  1. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Kwa aliyewahi kufanya Interview ya Database Admin PSRS , njoo utupe A B C
  2. realnegro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hawajakosea mzee coz written tar 27 Dodoma, then Practical tarehe 7 dar na Oral tar 8
  3. realnegro

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    THPS umesahau kwenye list hapo
  4. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Za NAOT cjazipata mkuuu
  5. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Za ndani kabisa, Zile INTERVIEW za TRA na LGs&MDs ni mwezi huu wa kumi ila haijulikani ni lini lakini pia inasemekana watatoa majina kikanda yaani interview itafanyika kikanda watatumia Address kupanga kanda utakayoenda kufanya interview.... Utaratibu huo umekamilika na mpaka mwajiri wameshapiga...
  6. realnegro

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Benki kuu ya Tanzania

    Kama kichwa kinavojieleza pakua pdf
  7. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Kada gani hii mkuu?
  8. realnegro

    JamiiForums Tanzania Loan officers 100 wanahitajika hasa microfinance

    Email si ndio hii mkuu?
  9. realnegro

    JamiiForums Tanzania IT in security system

    Degree ya Cyber Security na IT Security hata Udom pale CIVE wanatoa izo course mkuu
  10. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Hii ni kada gani mkuu?
  11. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    ORAL INTERVIEW QUESTIONS Kada:SYSTEM ADMINISTRATOR Taasisi: BRELA 1.Talk about yourself and education background in whole? 2. what is domain controler 3.function/uses of domain controler 4.what is cloud computing 5.advantages of cloud computing Hayo ndio nnayokumbuka....
  13. realnegro

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written.... Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
  14. realnegro

    JamiiForums Tanzania Tukisubiri kuhesabiwa. Chagua kitabu kimoja nikutumie

    Umevidownload Z-library for free jamaa wapo vizuri
  15. realnegro

    JamiiForums Tanzania Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    Pamoja mkui
Back
Top Bottom