Recent content by Real student

 1. Real student

  Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

  Doctor umeenda wapi mbona hujibu au ubize ume zidi
 2. Real student

  Msaada: Joining instruction chuo cha afya.

  Hi .plz naomba kujua mchanganuo was cozi ya udaktari na majukumu ya kila daktari kwa kila kitengo coz nataka kuwa daktari baadae sjajua nitakuwa daktari was Nini napenda kujua mapema nianze kukuza uwezo na kutafuta rol modos. Usintajie macho pua Wala makio spendi huwa navutiwa na vidonda na...
 3. Real student

  Chuo cha diploma ya masuala ya afya

  Habari.naomba msaada hivi coz ya udaktari imegawanyika vipi unaso ewaje ya yapi majukumu ya daktari kulingana na kitengo chake nataka kuwa daktari hatimaye ila sijajua nitakuwa daktari was Nini nitajie nichague niikuze hiyo hali mapema
 4. Real student

  Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

  Shkamoo doctor. Ninaishi na asthma tangu kuzaliwa huwa natumia triam injection nakaa miezi nane bill kuugua lakini nableed Sana mwezi was Kwanza baada ya kutumia Hadi siku 16 nifanyeje. Bill kuichoma swez kuishi pia alienianzishia tiba alinipa madawa mengi mno hivyo vidonge hunikataa milele
 5. Real student

  Mijadala ya JF doctor ni mizuri

  Habari wapendwa humu mijadala mizuri nimefurahia kujumuika nanyi
Top