Habari za mda huu wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 24 memamliza chuo cha Usimamizi wa fedha baada ya kuangaika sana kutafuta ajira na kushindwa kupata hata intern imenibid nije mbele yenu kutafuta boss mwenye gari anayetafuta dereva wa uber na taxify maana mtaani tunaangamia nina license class c...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.