Recent content by REAL ACTIVIST

  1. R

    Ni sahihi kwa Mbowe kulala Hotel ya Dola 700 kwa siku huku wafuasi wake wakishindia Mikate na Maji?

    Unawaza mimba tu wewe sasa hiyo mimba itakuingia wewe laki si pesa unaliwa nye wewe.
  2. R

    UKAWA ni upepo tu, kisha utapita

    Tata mura unavyojua kujamba povu kwa kinywa chako hongera zako gamba.
  3. R

    UKAWA ni upepo tu, kisha utapita

    Nyie kweli ni maskini na mafukara wa fikra,tuondoleeni uzuzu wenu hapa.
  4. R

    Kwa upepo huu, CCM wanaongoza bao 3 UKAWA 0, Tupo kipindi cha Pili dakika ya 80 kama sikosei

    Acha ungedele wewe suala la katiba ya nchi na bao tatu mara 0 vina correlation gani usitiletee ushabiki wako wa mpira kwenye suala la katiba ya nchi,unaliwa nye nini wewe bogus wewe.
  5. R

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 9 Septemba, 2014

    Acha uongo kijana eti huna itikadi ya chama chochote usilete mada na uongo wako hapa,huna itikadi ya chama chochote wakati wewe ni kijani pure.Acha kujamba moshi kwa kutumia kinywa chako kijan.
  6. R

    Serikali: Tunafikiria kufuta ada kwenye shule za sekondari

    Kweli viongozi wa taifa hili la Tanzania wanajua kucheza na akili za watanzania,yaani hainiingii eti leo hii kikwete anauambia umma wa Tanzania eti serikali ina mpango wa kufuta karo ya sekondari,ndugu zangu wadau wa blog hii hivi huyu rais alikuwa wapi tangia 2005 kufuta karo eti leo hii...
  7. R

    CCM wamerudi bungeni kujadili katiba ya CCM wala si ya Nchi

    Amaa kwa hili la katiba mpya hakika ccm wanapigana kupitisha mambo yao yenye shabaha ya kuendelea kulinda maslahi yao binafsi na chama chao,hainiingii akilini hata kidogo yaani mchakato wa katiba mpya waliuanza pamoja halafu leo hii bila aibu wanaamua kurudi bungeni peke yao bila...
  8. R

    Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Hakika nakueleza hakuna mwana UKAWA yeyote anayetamani kurudi kwenye bunge la katiba ni huyo leticia tu na yeye ndiye anayejua kilichomkuna mpaka akaamua kurudi bungeni tatizo ni ukakasi ulio ndani ya akili ya mtu binafsi,ccm wanacheza kwata nasema hivi hiyo katiba ni ya ccm wala si ya nchi...
  9. R

    CCM kuwa na wabunge wengi ni kwasababu inaungwa mkono na wananchi wengi

    Walichokifanya ccm kule Kalenga ndicho walichokiendeleza pale Chalinze.Ni ukweli usio na kificho kwamba ccm siku zote wakati wa chaguzi mbalimbali hutumia nguvu ya fedha ambayo wanayo kupitia pesa za sisi wenyewe watanzania tunaolipa kodi serikalini kuwaghilibu watanzania wa kipato cha chini kwa...
  10. R

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    Ndugu zanguni na watanzania wenzangu wa Chalinze nachelea kuwaulizeni hivi ni kweli mnakitambua mnachokifanya hapo jimboni kwenu?haiwezekani mkaendelea kuwarithisha watoto wa watawala nafasi za uongozi, hivi ni kweli kwamba katika jimbo zima la Chalinze hakuna mtu yeyote ambaye mmeona ana sifa...
  11. R

    Ubunge Kalenga: Godfrey Mgimwa aitingisha Tosamaganga na Kalenga A

    Unavyojua kutapika povu Mwanadiwani nakusifu sana.
  12. R

    Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Labda uchumi wa baba,mama,babu,bibi,shangazi na mjomba wako ndio umepaa angani kama tunguli na kuwa wa 12 Afrika.
  13. R

    Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Kweli nimeamini kwamba bado watanzania wengi hawajaamka kifikra na upeo wa akili zao bado una ukurutu,msidanganyane.
  14. R

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    Mtawala wa taifa hili na wateule wake wanavyojua kuyatumia majukwaa yaliyoko katika kona mbalimbali hapa nchini wakihubiri na kueneza propaganda kuhusu ajira kwa vijana hapa nchini huko wengine wakithubutu kuwaeleza vijana eti waache kufikiria kuajiriwa na serikali badala yake wajiajiri wao...
Back
Top Bottom