Naamini yeye mwenyewe kaomba kuja lakini sio kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Mh Magufuli bali kuweka mambo sawa hasa kutokana na sintofahamu iliyopo juu ya ushindi wa Mh Magufuli. kwajinsi ninavyo mfahamu, huwa hapendi majukwaa ya kisiasa na sijawahi kumuona akihudhuria sherehe za kisiasa mahali...
Sio mwakyembe aliye fanya tujue Richmond, suala hili lilianzia bungeni, ikaundwa kamati ya bunge na mwakyembe akawa mwenyekiti. Kuwa mwenyekiti hakumfanyi mwakyembe kuwa muibuaji wa kashfa.
Upo sahihi ila mtoa hoja anataka pia uzingatie kasi ya utekelezaji wa vipaumbele vya nchi, kwasababu kama kasi ni ndogo lazima tutaendelea kuwa nyuma na hapo mtoa hoja atakuwa sahihi . zaidi ya yote, hebu saidia kutaja vipaumbele vyetu vilikua nini mfano ktk sekta ya nishati, sekta ya...
Nabii TB Joshua akisema neno litakuwa linakuwa kama alivyosema na hii ni kwasababu yeye ni Nabii wa Mungu aliye juu. Lakini sijaona katika prophecy za Nabii huyu juu ya kumtabiria Lowasa kwamba atashinda, sijaona.
Tatizo lako mwanakijiji ni moja kwa mtazamo wangu, umesahau agenda ya nchi ambayo ni change. sasa hapo haijalishi kwamba kuna Lowasa au bila Lowasa, change needs to go on and on to the right direction.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.