Recent content by RBM

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada notes za development studies

    RE; KWA WANAOJUA UMOMBO VIZURI JE, Ni sahihi kusema 'MONITERESS' ukiwa na maana ya monitor wa kike?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Mheshimiwa Mulugo ni mkali hana msamaha wanapokosea waliochini yake, "Kagueni vyeti vya wakuu wa shule mnapokwenda kukagua shule, wengine ni feki!" aliwahi kusema mh. Sasa wewe ni feki ? Jifunze kuwa makosa ni kawaida ingekuwa kila ukikosea watobolewa tundu mwilini ungekuwa na matundu mangapi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria chamwaga wahitimu

    Mzimu ni mzimu tu,ukikuvaa umekuvaa. Degree ni degree hakuna ndogo wala kubwa.
Back
Top Bottom