Recent content by raythegreat

  1. R

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Nakuunga mkono ndugu! Hata mie kipengele hicho nilikiwekea nyota! Plus hiki .... "Kuhusu Mahakama inapendekezwa kuanzishwa kwa Mahakama ya Juu (Supreme Court) Majaji wa Mahakama ya Juu na Mahakama ya Rufani watateuliwa na Rais baada ya kupendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama." Nafikiri...
  2. R

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Ndugu yangu nafikiri hata wewe ni shahidi kuwa sisi kama WATANZANIA hatuna udini mioyoni mwetu. Mimi binafsi, Shuleni, kazini, nimesoma na waislamu na ninafanya kazi na waislamu. Hata siku moja sijawaona kama adui zangu. Tena wengine ni marafiki zangu wazuri tunaoshikiana, tunataniana na...
  3. R

    Maandamano makubwa Songea!

    Ushauri wako wa ulinzi shirikishi ni mzuri kaka, lakini naona kuna jambo hujaliona hapa. Hatua ya kufikia ku-shoot waandamanaji inaashiria kuwa polisi waliona wamezidiwa sana kiasi kwamba hata tear gas au njia nyingine za kudhibiti waandamanaji zimeshindikana, and I don't believe that it...
Back
Top Bottom