Recent content by rayjr

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Kaka yangu alikuwa amenishika nikiwa mdogo sana miaka ya 80s Usingizi ukamshika akaniangusha ilikuwa ni karibu na moto usiku ndo maji yalikuwa jikoni ya ugali dada alikuwa anakamua niliungua kichwani mpaka leo nywele zimeota nusu wananiita kipara wengine wananitania wananiita kiporo ila maisha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Fanya kazi mpaka uumie kwasababu umasikini unauma zaidi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    '' Hakuna kulala mpaka kieleweke '' - MBOWE
Back
Top Bottom