Ukitaka mtoto ale inabidi sometimes ujichetue akili uwe ka mtoto, umwimbieimbie akiwa anakushangaa unamwekea kijiko hivohivo utashangaa anamaliza pia jaribu kumbadilishia mlo kila siku usimpe uji kila siku asubuhi unaweza mpa mtori wa ndizi na viazi mixer nyama kama finyango kadhaa na supu yake...
Huo ni ujinga wanawake tunajidanganya wenyewe yaan ushahidi upo mezani afu et mtu anakataa nawe unamuamini mm nilimbana mbona mpaka akasema ukweli and issue solved
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.