Watu wengine huwa mnatafuta kutukanwa bure
Umeamka asubuhi umeingia jf ukaacha forum zingine I.e dini, siasa, jokes ukaamua kuingia kwenye forum ya mapenzi, hapo ukakuta thread nyingi tu ukaamua kuchagua hii ya lara1
Wakati huo huo unasema ni muuza uchi
Hiyo sio hypocrisy kweli?
Kwa nn usiwe...
Nadhan nimesahihisha kuwa kaanza pre form five na si selection, sikua na details za kutosha nime re check
Amejiunga pre form five pale sumve shule iliyopo wilayan huku akisubiri selection
Sorry for inconvinient
Sorry mkuu si selection, mama yake amempeleka sumve yuko hapo anafanya pre form five wakati akisubiri kupangwa
Nililazimika kurudi kuchek na binti mwenyewe tena
Ingawa private wameanza tayari
Sorry sikuwa na details za kutosha nipo mbali nao
Wakuu nawasalim
Siku chache zilizopita nilikuja hapa kuomba ushauri juu ya mwanamke mmoja niliezaa nae miaka ya 90 na baadae dada huyu kuniambia kuwa mtoto alikufa kumbe yupo hai na amemaliza form four mwaka jana
Baada ya taarifa kuwa yupo hai nikaenda mwanza na kuonana nae mtoto, ingawa...
Wakuu habari zenu,
Kuna binti nilimpa mimba mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi wa kidato cha nne mjini Mwanza na wote tulisoma shule moja na darasa moja. Alipoitwa na mkuu wa shule kuhusu tetesi za yeye kuwa na mimba alikiri mbele ya mkuu na akanitaja mimi kama mhusika wa mimba kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.