Recent content by Raston

  1. R

    JamiiForums Tanzania Bulembo afichua milioni 40 alizopewa na Lowassa

    Kama kweli alimkana mwanae kwa hoja kama alimsaliti kwa maana ya kuwa chama kingine ,basi ajue tu kwamba Chama chake ni Mungu ! Kwa maana hiyo anahaki kutetea Chama chake kwa nguvu xote
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakama Kisutu, asomewa mashitaka Matano, apata dhamana

    Labda sifahamu taratibu,kwani angepelekewa ujumbe kuwa anahitajika police inaaminika asingetii kiasi kwamba ni lazima akamatwe ,awekwe ndani ,asafirishwe only to end up kuwekewa dhamana na kutoka!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Uhasama huu wa vyama utaondoa mshikamano wa taifa na ccm being a rulling party will responsible ,tunategemea wawe na hekima zaidi hasa kwa kuzingatia ndio chama tawala,miambie je kama tuhuma za kupiga dereva zingekuwa vise vasa je ingekuwaje, ni vyema ifike mahala ikubalike kuwa opposition ni...
Back
Top Bottom