Recent content by rashiro

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

    Mimi nimefaulu kwa kusoma nyangwine,
  2. R

    JamiiForums Tanzania clinical officers and medicine????

    kaka nnachoelewa ni kuwa ngazi za udaktari ni ASSISTANT CLINICAL OFFICER,CLINICAL OFFICER,ASSISTANT MEDICAL OFFICER,MEDICAL OFFICER(MEDICAL DOKTOR). Na ipo hivi,ukipiga certificate kama una sifa za cert. ukimaliza ukataka unaeza enda mpaka degree, sababu utafanya kazi miaka husika nadhani miwili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo wizara ya afya yametoka.

    nliomba diploma mkuu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha c.o lugalo

    Daah! Ahsante mkuu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo wizara ya afya yametoka.

    Jamani wengine roho zetu zipo juu sana maana mwaka jana niliomba na sikupata japo result zangu zilikuwa: phys-C chemistry-C biology-B maths-D english-C sijajua labda matokeo yangu ndo hayaridhishi? Maana hata uwezo wetu ni duni na nna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia kiasi cha kwamba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo wizara ya afya yametoka.

    Jamani wengine roho zetu zipo juu sana maana mwaka jana niliomba na sikupata japo result zangu zilikuwa: phys-C chemistry-C biology-B maths-D english-C sijajua labda matokeo yangu ndo hayaridhishi? Maana hata uwezo wetu ni duni na nna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia kiasi cha kwamba nikikosa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha c.o lugalo

    Jamani msaada kwa chuo cha C.O cha lugalo,je kuna uwezekano wa kupata nafasi? Namna ya kufanya? Msaada zaidi juu ya hilo maana hali yangu si nzuri
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya tuwe tayari kwa kuyapokea majina yetu

    Mimi hapa nilipo roho ipo juu, maana mwaka jana niliomba, result zangu ni kama hivi physcs-C, chemistry-C, biology-B, english-C, mathmatics-D,...sikufanikiwa kupata,hapa nilipo uwezo wangu duni maana kuna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia,..yaani naomba mungu anione huu mwaka lakini...
Back
Top Bottom