Kweli kabisa kamanda udalali lazima hata iweje bile....hata hivyo.mimi kwenye makala hii niliangazia zaidi swala la jitihada za urasimishaji katika sekta hii..Kwamba kama jamii .kuwe kuna miongozo maalum inayo simamia harakati za udalali ili...suala la ununuzi na uuzaji visiwe kero wala chaka la...
Udalali utaendelea kuwepo, maana changamoto ya vatu wengi zaidi ni mitaji. Lakin zikuwekwa taratibu nzuri jambo hili litampunguzia sana mwananchi usumbufu
Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali".
Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" .
Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.