Serikali ya Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kujitegemea kifedha katika uendeshaji wa shughuli za maendeleo na huduma za umma, huku ikieleza kuwa takribani robo tatu ya bajeti yote ya mwaka wa fedha 2026/27 itagharamiwa na mapato ya ndani.
Kwa mujibu wa Serikali, asilimia 74.2 ya...
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.
Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
Je, unafanya nini ikiwa unaongoza chama cha upinzani ambacho, kwa ukweli kabisa, hakina uwezo wa kushinda uchaguzi kwa sababu hakijawahi kuwasilisha mawazo au sera za maana kwa wapiga kura tangu kilipoingizwa kisiasa kwa ushawishi wa serikali ya kigeni, na sasa kinaelekea kupata tena kushindwa...
■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg
■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi
■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumzia uwekezaji katika...
Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka"
Kwa maana hiyo , Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wamedhiirisha hilo kwa vitendo kwa kuonesha nguvu...
𝑵𝒂𝒂𝒏𝒅𝒊𝒌𝒂 𝑹𝒂𝒔𝒉𝒅𝒂
Kesho, Rais Samia Suluhu Hassan atachukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu — tukio muhimu linaloashiria mwendelezo wa uongozi wenye dira na matokeo.
Kwa kipindi cha uongozi wake, Rais Samia ameonesha uthubutu, uadilifu na ufanisi katika kusukuma mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.