Recent content by Rare Sapphire

  1. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Kha, anayepiga makelele bila soundproof ni mpaka afanyie hayo kwenye uwanja wako ndio uathirike?
  2. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Mkuu bwana, wamasai wahame ila hoteli hazina shida? Turudi kwenye mada, kuna wenye kinga na noise polution kwamba wakifanya wao ni sawa?
  3. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Nakuuliza kama nilivyomuuliza Mkuu mwingine, kuna watu wana ruhusa ya kupiga kelele usiku kucha kwenye makazi ya watu? Pub inakesha usiku kucha kwamba nihame, kwanini? Dar karibu yote wazaramo na wanaofanana hawakosi kwahivyo wengine ambao hatuna tamaduni za kukesha tuondoke, kuwa serious Mkuu
  4. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Kuona mtoto wa miaka 15 anaozwa kawaida sana. Kuna kipindi macho yalinitoka.... nilienda kwenye duka la dawa kuchukua dawa, wakati nasubiri kuhudumiwa wakaletwa maharusi kupimwa ukimwi, macho walikuwa watoto ila waliposema umri wao ndio nikachoka kabisa, bwana harusi alikuwa na miaka 16 na bibi...
  5. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Sheria zilizowekwa kuhusu kelele zinabagua watu? Kuna wengine hii haiwagusi wanaweza kufanya watakavyo?
  6. R

    KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Wakuu Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na hili ni hatari kwa watoto pia, ukienda kuchungulia mida ya saa tano sita usiku hukosi watoto, kwa watu...
  7. R

    Wananchi wa Mbezi Msumi tunateseka kwa kukosa Daraja, lilibomoka tangu Mwaka 2023, Mbunge hasikii kilio chetu

    Hali ilivyokuwa baada ya daraja kubomoka Sisi wakazi wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Ubungo tuna changamoto kubwa ya kutojengewa Daraja ambalo lilibomoka kutokana na mvua zilizonyesha Oktoba 2023 hadi Januari 2024. Baada ya Daraja hilo kubomoka tulilalamika sana...
  8. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Hazitakiwi kuwa barabarani, zinaweza kuleta majanga majanga kibao, hazina viwango tena vya kuendelea kutembea barabarani
Back
Top Bottom