bei yake inategemea na ukubwa pamoja na vitu unavyohitaji humo ndani. kwa maana hio inaweza kuwa na choo, jiko, bafu pamoja na sehemu ya chumba cha kulala na sebule. Kuhusu swala la usalama, iko salama kwavile ni chuma zilizochomelewa pamoja na kuunganishwa na insulator ambyo pia ni chuma...