Recent content by RANGOE

  1. RANGOE

    Niulize chochote kuhusu programming language

    hivi kwanni watu wanazipa priority kubwa android app kuliko web based app?
  2. RANGOE

    Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Duuh Ahsante mkuu.. Isha kula kwangu maana chuoni sijakomboa cheti nadaiwa lakini nimeverify Nacte Kumbe chuo walipeleka taarifa zangu
  3. RANGOE

    Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Habari wakuu... Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
Back
Top Bottom