Habari zenu wana JamiiForums.
Maisha yanaweza kuwa magumu kwa sasa, na huenda malengo yako makubwa ya kifedha bado hayajatimia. Lakini kumbuka, asilimia kubwa ya mambo unayoyaona ya kawaida kwako leo, kuna mtu yuko mahali anamlilia Mungu ayapate hata kwa sekunde moja.
Unajua katika ulimwengu...
upo sahihi mkuu, kama wa design hiyo tunabaki kumuombea tu kwa kweli, lakini kwa yule ambae akikumbuka ama kukumbushwa anarudi kundini basi uzi kama huu utamfaa
ni kweli mkuu lakini nilikua nafanya kukumbushana vipaumbele vya Kweli katika Maisha yetu (Prioritization) kama vile:
Kukumbushana Afya kwanza: Binadamu sisi huwa mara nyingi husahau hili hadi pale anapougua. Sasa tunakumbushana lakini sio kwamba hatujui bali tunajisahau kibinadamu...
Ndo maana nikasema tunakumbushana!, kwa maana najua kila mtu anajua hili lakini kuna ile kujisahau kibinadamu na ndo lengo kuu la uzi lakini sajasema naleta mapya.
Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili kujikumbusha yalio muhimu sana katika maisha yako.
1. Hospitali.
Hapa utaona jinsi mwanadamu alivyo dhaifu...
ile hali unakua tuseme una uwezo wakununua kitu lakini hununui kwasabab unajua mda wowote ukitaka utanunua bcoz uwezo huo unao, kwangu husikia raha sana kuliko kununua kitu chenyewe. Pia ule utamu wa kuamka kila asubuhi ukijua salio lako la bank limeshiba vyema na kuna akiba yakukutosheleza...
kuna hii, ukiwa na rafiki zako au ndugu na kuongea maongezi yanayofanya kucheka sana hadi machozi yanatoka na kushindwa kujizuia ni moja kati ya vitu ninavyovipenda sana. yani mnakua na ule mcheko mrefu wa hadi sauti inakata kiasi kuishiwa mpaka pumzi. unakuta kila mkitazamana mnaaza tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.