Recent content by Ramso5

  1. R

    Yaliyojiri katika kula Kiapo kwa Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, Ikulu Dar es Salaam

    Acha upumbavu wewe ungekuwa unaishi buswelu usingeongea upuuzi huu,watu wana machungu sana,umeme unarudi saa 7 usiku na kukatika saa 11 alfajiri kila siku,ofisi za mkuu wa wilaya na hapa manispaa hakuna umeme mpaka sasa ninapoongea,hali hii tumeizoea kila siku
  2. R

    Yaliyojiri katika kula Kiapo kwa Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, Ikulu Dar es Salaam

    We ngoja kulipuka tu,sijui itakusaidia nini wakati leo inaenda wiki ya pili sasa buswelu yote hamna umeme,hiyo ni manispaa,je huko vijijini hali ikoje? endelea kulipuka na anjelina wako
  3. R

    Polisi Mwanza wazingira njia ya kuelekea hospitali ya Bugando

    Katika hali ya kushangaza leo siku ya Jumapili, askari polisi jijini Mwanza wametanda kila mahali na hasa njia kuu ya kuelekea bugando, nimeshuhudia doria isiyokuwa ya kawaida ya magari na askari waliovaa sare na kiraia, wengine wamepaki njia kuu kuelekea Bugando jambo ambalo si kawaida kwa siku...
  4. R

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Hali si shwari mabomu yanaendelea kupigwa hapa bugando hospital
  5. R

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Mwili wa marehemu umewasiri bugando,mabomu yanapigwa
  6. R

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Hapa kuna jambo,huyu dada alieanzisha hii mada si wa kumwamini alishajivunjia heshima yake,hastahili hata kuwa kiongozi,na hii mada ameianzisha kwa malengo anayoyajua
  7. R

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    Walimu wa mwanza,kweli mmetuaibisha,kitendo cha kusomba wanafunzi na kuwapeleka kwenye mkutano wa magufuli ili kutii amri ya mkuu wa mkoa kimenifanya niwadharau sana
  8. R

    Samia: Tanzania ina chuma itakayovyunwa miaka milioni 200

    Hata mimi mimemsikia,nimeshangaa sana,sijui kama anajua alichokiongea au anaropoka tu,nina mashaka na uwezo wake kama atakuwa makamu wa raisi
  9. R

    Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    Channel ten siku hizi hovyo kabisa,ni bora uangalie TBC
  10. R

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mwanza huku nilipo tuna siku 7 hatupati umeme mchana
  11. R

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mod naomba msifute huu uzi ili tuone ukweli wa mambo nchi nzima kesho kwani tumeona hapo nyuma umeme ukikatwa kunapokuwa na tukio "live" kutoka upinzani,tunataka tuone kesho itakuwaje?
  12. R

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Huu umati haijawahi kutokea mwanza uwanja wa furahisha hautnshi
  13. R

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Magic fm,radio maria na radio five ni wazuri sana kwa uchambuzi wa magazeti.
Back
Top Bottom