Recent content by ramseymuhidin

  1. ramseymuhidin

    NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Samahni jamani nilikua naitaji kujua vigezo vya kujiunga na Diploma ya IT katika chuo cha IFM msaada kwa mtu anayefahamu PLEASE
  2. ramseymuhidin

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Asante Nashukulu kwa msaada wako ila m n mgeni na cjajua utalatibu wa mtu ukiomba nafasi inakuwaje kuhusu majibu ya maombi n chuo unaenda kuhuliza au kwenye tovuti
  3. ramseymuhidin

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Kaka mm nina D 5 Nimeomba kujiunga na Diploma katka chuo cha IFM na Mpka sasa naona kimya hvi kweli kwa jinsi ya matokeo yangu naweza kuchaguliwa. Na je vp kuhusu jina langu nitaliakikisha vp kama nimechaguliwa na majina yashatka MSAADA PLEASE
Back
Top Bottom